Jana kupitia kwenye mtandao mmoja  wa kijamii mwanadada msanii wa bongo fleva, Bela fasta alipost picha {Hiyo hapo juu} yenye maneno ya kashfa kwa mwanadada Zari, picha iliyokuwa na maneno yanayosema kuwa mwanadada huyo mpenzi wa msanii Dimaond Platnumz “hana mvuto na wala ujauzito alio nao haumpendezi hata kidogo na kwamba mwili wake sio mzuri kushinda wa mwanadada wema sepetu” aliyekuwa mpenzi wa Diamond hapo kabla.
Kauli iliyomfanya mwanadada huyo kuwa gumzo leo kwenye mitandao ya kijamii.
Je unahishi mwandada huyo anatafuta umaarufu ama KIKI- [ kama watoto wa mjini wanavyosema] kwenye mitandao ya kijamii au ni kweli mwanadada Zari havutii kama anavyosema?

Post a Comment

 
Top