Baada ya kuifunga akaunti yake kwenye mtandao picha wa Instagram
iliyokuwa na followers zaidi ya laki nne, na kuamua kufungua tena
akaunti kwenye mtandao huo, staa mrembo wa Bongo Movies, Elizaberth
Michael ‘Lulu’ ametupia picha hizi mpya kwenye ukarara wake huo mpya
unaopatikana kwa anuani ya @ elizabethmichaelofficia kitendo ambacho
kimewavutia mashabiki wengi waliommiss mrembo huyo ambaye ni mpenzi wa
fasheni.
Mashabiki wengi wamemsifia kwa kutokeleza bomba na kuonyesha furaha
zao kwa juio wake tena mtandandaoni humo kwani wanampenda na kumkubali
sana.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment