Pichani ‘Zari’, ‘The Boss Lady’ akiwa mtupu.
GAZETI GANI?Gazeti la Red Pepper la Desemba 5, mwaka huu ndilo lililomponza mwanadada huyo kwa kuripoti kuvuja kwa video ya utupu ya mrembo huyo na kusababisha aonekane hafai mbele ya jamii. Wadau wengi wakaanza kuhoji kwa nini akubali kurekodiwa video hiyo wakati yeye ni mtu mzima tena mama wa watoto watatu?
VIDEO YAZUA GUMZO
Vyanzo tofauti mitandaoni vimeielezea video hiyo. Kuna ambavyo vimedai kuwa mwanadada huyo alirekodiwa ‘akijichua’ mwenyewe huku vyanzo vingine vikienda mbali zaidi kwa kudai alirekodiwa akivunja amri ya sita na mpenzi wake wa zamani.
ZARI AFUNGUKA
Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Zari mwenye maskani yake nchini Uganda na Afrika Kusini, aliandika kuwa mtu aliyevujisha video hiyo chafu alikuwa na lengo la kumharibia shoo yake anayotarajia kuifanya Desemba 18, mwaka huu inayofahamika kama Zari All White Party lakini hawatafanikiwa.
“Kimsingi sitashindwa, shoo itafanyika kama kawaida na Diamond atakuwepo kama kawaida. Niwahakikishie tu nitachukua hatua za kisheria kwa yeyote aliyehusika kunichafua,” aliweka nukta Zari.
GAZETI LAKOMAA
Licha ya mwanadada huyo kudai atawafikisha kwenye mikono ya sheria wahusika wote, bado ilielezwa kuwa gazeti hilo lilizidi kukomaa na kudai wana ushahidi wa kutosha.
Licha ya mwanadada huyo kudai atawafikisha kwenye mikono ya sheria wahusika wote, bado ilielezwa kuwa gazeti hilo lilizidi kukomaa na kudai wana ushahidi wa kutosha.
Zari, ‘The Boss Lady’ akiwa na 'Diamond'.
Wakati saga hilo likizidi kupata ‘kavareji’ mitandaoni, wafuasi wa Wema (Timu Wema) waliashiria kufurahia kitendo cha mrembo huyo kurekodiwa video hiyo ya utupu.
“Safii, si alijifanya anajua kutuchukulia shemeji letu sasa limemshuka shuuu...akome,” mmoja wa memba wa Timu Wema alitupia komenti yake.
HATA HIVYO
Hata hivyo, ikumbukwe kwamba, Wema ndiyo alimmwaga Diamond na si Diamond kummwaga Wema wala kumwagana!
TUJIKUMBUSHE!
Zari na Diamond wanaodaiwa kuzalisha penzi jipya hivi karibuni (project), kila kukicha wamekuwa wakinadi urafiki wao mitandaoni huku kila mmoja akionesha kumsapoti mwenzake kimuziki ambapo Desemba 18, mwaka huu wameahidi kufanya bonge la shoo nchini Uganda.
Post a Comment