PICHA: NARGIS MOHAMMED AFUNGUA DUKA JIPYA LA NGUO
Mrembo na mwigizaji wa filamu hapa Bongo, Nargis Mohammed hivi juzi amefungua duka jipya la mavazi ya wanawake ikwa ni muendelezo wa maduka yake yanaofahamika kwa jinala la fashoonista .
Hapo juu ni baadhi ya picha za ufunguzi wa duka hilo lililopo Nyumbani Lounge karibu na Best Bite, jijini Dar.
Hongera sana Nargis.
Post a Comment