Kwa mujibu wa tovuti ya Mange, inasemekana mwanadada Wema Sepetu
ameamua kufanya kweli na kwenda kumtambulisha mume wako mtarajiwa
nyumbani kwako Singida tayari kwa mipango ya ndoa.
Kupitia picha iliyowekwa kwenye tovuti hiyo, inayomuonesha
mwanadada Wema akiwa na pete ya ndoa kidoleni anayodaiwa kuvalishwa na
mchumba wake huyo ambaye wapasha habari wa hapa mjini wanadai ni yule
tajiri wa Uganda - Ivan aliyekuwa mume wa mwanadada Zari ambaye kwa sasa
ni mpenzi wa ex wa zamani wa Wema – Diamond Platnumz.
Wacha BongoMovie iendelee, Sisi yetu macho na masikio. Tunaisubiri ndoa hii kwa nguvu zote.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment