TUMEVAMIWA WEUSI!!!!!: Joh Makini ametuletea hii video yake mpya aliyoifanya South Africa.
Ni staa wa hiphop kutoka Tanzania ambae mwaka 2015 umepewa baraka nyingi kwake ikiwemo video yake ya XO kuanza kuchezwa kwenye TV kubwa ya Nigeria (Sound City) lakini pia time hii karudi kwenye headlines na video yake mpya ya #nusunusu
LINK HII HAPA ANGALIA
https://youtu.be/eNLs9HYEbKY
Post a Comment