Kili Music Awards
ni Tuzo kubwa kwenye industry ya muziki TANZANIA… Waandaaji wa Tuzo
hizo leo wameileta kwetu rasmi kabisa ile list ya mastaa wetu wa muziki
ambao wameteuliwa kuwania Tuzo hizo kwa msimu wa mwaka huu 2015.
Mastaa walioongoza kwa kuteuliwa kwenye vipengele vingi zaidi, wa kwanza ni Ali Kiba ambae yuko kwenye vipengele sita, Diamond pia yupo kwenye vipengele sita na Jux ambae yuko kwenye vipengele vinne.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment