Mastaa wa kimataifa Beyonce Knowles na Kim Kardashian wamekuwa gumzo baada ya kuzidiana followers ambapo baada ya Beyonce kuongoza kwa muda mrefu sasa ni zamu ya Kim.
Kim Kardashian sasa amekua staa anayeongoza kwa kuwa na follewers wengi kwenye mtandao wa @Instagram baada ya kufikisha milioni 44.1 na kumpiku Beyonce mwenye followers milioni 44.
List mpya ya mastaa 10 ni hii hapa na idadi ya followes…
- Kim Kardashian — 44,005,604
- Beyoncé — 43,935,648
- Taylor Swift — 43,533,226
- Selena Gomez — 41,843,095
- Ariana Grande — 41,696,873
- Justin Bieber — 36,994,254
- Kendall Jenner — 35,388,483
- Kylie Jenner — 33,703,166
- Nicki Minaj — 32,278,123
- Khloé Kardashian — 30,522,261
Post a Comment