Picha za ubunifu zilizochorwa na msanii mmoja toka Ghana ambazo wameonekana mastaa wa wanawake wa Marekani… hapa ni zamu ya kuwaona akina Beyonce, Rihanna, Nick Minaj na mwigizaji Megan Good wakiwa kwenye mwonekano wa mavazi ya kiafrika zaidi.

Najua umezoea kuwaoana mastaa hawa kwenye zile nguo zao za kimarekani zaidi na kitu kama high heels miguuni… inakuwaje wakiwa kwenye mavazi ya Kiafrika? 

 Rihanna

                                                               Beyonce

                                                   Nick Minaj

                                   Mwigizaji Megan Good

Post a Comment

 
Top