Nyimbo 20 bora Redioni za Tanzania January 4 to 10 mwaka 2016
Kutana na chati ya muziki ya nyimbo 20 zilizochezwa sana kwenye vituo mbalimbali vya Redio nchini Tanzania kutoka kwenye kampuni ya CMEA ambayo inayo mitambo maalum ya kujua kila wimbo unaochezwa kwenye vituo hivi kila sekunde ambapo chati hii ni ya kuanzia Tarehe 4 hadi 10 January 2016.
Post a Comment